TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAAZI KWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA TAREHE 19/08/2022.

Ndugu Waandishi wa Habari UTANGULIZI. Kufuatia uzinduzi wa zoezi la ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAAZI  uliofanywa na Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Rais Wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi alioufanya tarehe 8/4/2022 katika ukumbi wa hoteli